GST inaonyesha aina mbalimbali za vifaa vya hali ya juu vya jiofizikia vinavyotumika katika utafutaji wa madini, zikiwemo vifaa vya GDD (ERT/IP), Magnetometa (GEM System), na Kipingamaji (ABEM TERRAMETER LS 2) Sept 24, 2025
Katibu Mkuu wa Madini Atembelea Banda la GST Kwenye Maonesho ya Madini Geita Septemba 22, 2025
Waziri Mavunde Aweka Jiwe la Msingi wa Ujenzi wa Maabara ya Kisasa Kizota, Dodoma Agosti 25, 2025
GST Kujenga Maabara Kubwa ya Uchunguzi wa Sampuli za Madini Afrika Mashariki
Maabara ya Kisasa Geita Kuwainua Wachimbaji Kanda ya Ziwa - Mavunde
Mjiolojia Bw. Hamisi Ramadhani Akielezea Uwepo wa Madini ya Kutengeneza Mbolea Katika Maonesho ya NaneNane Yanayofanyika katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, 03 Agosti 2025.
GST Kuanza Ujenzi wa Maabara ya Kisasa Geita Mwaka wa fedha 2025/2026
Sheria ya Madini (Sura. 123) Kifungu cha 27F
GST na BGS ya Uingereza Zasaini Hati ya Makubaliano Utafiti wa Madini
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la GST na wafanyakazi wote wametakiwa kutimiza majukumu yao, Naibu Katibu Mkuu Bw. Mbibo akisisitiza 21 Februari, 2025 katika Hoteli ya Morena, Morogoro.