Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Kitabu cha Madini yapatikano kinapatikana kwa Tsh 40,000/
Ofisi ya GST inapatikana Jiji la Dodoma Jirani na Hotel ya Dodoma. Pia tuna ofisi ya mkoa iliyopo Geita. Kwa Mawasiliano tupigie +255 26 2323020 Barua Pepe: madini.do@gst.go.tz
Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini (GST) ni taasisi ya utafiti chini ya Wizara ya Madini na ilianzishwa baada ya Marekebisho ya Sheria ya Madini ya Mwaka 2010 kupitia The Written Laws (Miscellaneous Ammendments) Act, Na. 7 ya Mwaka 2017. Taasisi hii imetokana na iliyokuwa Wakala wa Jiolojia Ta...