Huduma za Ushauri
• Uchambuzi wa Sampuli za miamba, udongo na maji.
• Mineralojia / Petrolojia
• Utafiti wa Vito na Madini
• Kukata na Kupaka Miamba na Kusafisha
• Uchambuzi wa XRD na Utoaji wa Ripoti
• Utafiti wa Jiofizikia na Utoaji wa Ripoti
• Utafiti wa Kikemia na Utoaji wa Ripoti
• Utafiti wa Jiolojia na Utoaji wa Ripoti