Maabara ya Uchenjuaji Madini

Maabara ya Uchenjuaji wa Madini ina vifaa vya kufanyia majaribio ya teknolojia katika kutenganisha madini kwa kutumia njia za sumaku, umeme wa tuli, mvuto, kuchanua povu, na mbinu ya kufyonza dhahabu kwa kutumia sianidi. Pia, majaribio ya kuboresha ubora wa madini ya viwandani hufanywa