Dira
Kuwa kituo cha umahiri katika kutoa huduma, data na taarifa za jiosayansi kulingana na mahitaji ya wadau kwa maendeleo ya Taifa.
Dhima
Kutoa data na taarifa za jiosayansi zenye ubora wa hali ya juu na huduma kwa gharama nafuu kwa Serikali na wadau mbalimbali ili kuwezesha kufanya maamuzi ya kimkakati kuhusu matumizi endelevu ya rasilimali madini; uratibu wa majanga asili ya jiolojia ili kupunguza athari zake kwa kutoa elimu na ushauri; na hivyo kuchangia ukuaji wa uchumi na maendeleo ya jamii.