Maabara ya Mineralojia na Petrolojia ina vifaa vya kisasa kwa ajili ya kuandaa sampuli, uchambuzi wa madini mbalimbali, miamba, na kutambua vito vya thamani. Maabara hutoa huduma za kukata, kuchonga, na kuandaa sehemu nyembamba na sehemu za kuchongwa za miamba. Maabara hutumia Microscopes za Dijitali za kuchuja nuru na mashine za X-ray katika kutambua aina za miamba na tabia zake.
Pia, maabara hukata na kuchonga vipande kwa ajili ya kutengeneza vipande vya ukubwa na mapambo