Ofisi za GST zipo wa...
Ofisi za GST zipo wapi?

Ofisi ya GST inapatikana Jiji la Dodoma Jirani na Hotel ya Dodoma. Pia tuna ofisi ya mkoa iliyopo Geita.

Kwa Mawasiliano tupigie +255 26 2323020

Barua Pepe: madini.do@gst.go.tz