Mtendaji Mkuu Dkt. Mussa D. Budeba Pamoja na Wataalamu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Wamepongezwa na Rais wa Zanzibar Dkt, Hussein Ali Mwinyi kwa Kazi Nzuri ya Kufanya Utafiti wa Jiolojia na Madini Zanzibar, 12 Septemba 2024.
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi Azindua Ripoti ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Zanzibar, 12 Septemba 2024.
Watumishi GST Wapatiwa Semina ya Maadili, Rushwa na Magonjwa 27 Juni 2024
GST Yatoa Elimu Kuhusu Utafiti, Upimaji wa Sampuli na Uwepo wa Madini Wiki ya Maonesho ya Madini Inayoendelea Katika Viwanja vya Jakaya Kikwete, leo tarehe 23 Juni 2024, Dodoma.
GST inaendelea kutoa elimu kwa wadau mbalimbali wa madini kwenye Wiki ya Maonesho ya Madini inayoendelea katika Viwanja vya Jakaya Kikwete, leo tarehe 22 Juni 2024, Dodoma.
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2024
GST kujenga Maabara ya Kisasa jijini Dodoma, Kufanya Utafiti wa kina kufikia 50%. Waziri Mhe. Mavunde ameyasema hayo leo Aprili 24, 2024 jijini Dodoma katika kikao cha kujadili namna bora ya utendaji kazi kilichowakutanisha Watumishi wote wa GST.
Waziri wa Madini Mhe.Anthony Mavunde amewataka Watumishi wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kuchapa kazi kwa bidii ili kutimiza Vision 2030, GST Kujenga maabara ya Kisasa Jijini Dodoma.
Kampuni ya PMM Tanzania Limited Handeni Mkoani Tanga inayomiliki mgodi wa Magambazi imeanza shughuli za uzalishaji madini ya dhahabu ambapo kuanzia Agosti 2024 mgodi huo unatarajiwa kuzalisha kilo 25 za dhahabu kwa mwezi.
Geological Survey of Tanzania (GST) ilifanya utafiti wa jiofizikia kwa undani ili kuelewa hali ya chini ya ardhi katika eneo lililopangwa kwa ajili ya kituo kipya cha kuhifadhia mkusanyiko wa taka za madini katika Mgodi wa Williamson Diamonds Limited (WDL).