GST KUPITIA WATAALAM WAKE YAWASILISHA RIPOTI HIYO KUPITIA WIZARA YA MAJI, NISHATI NA MADINI KWA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KATIKA OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS KUPITIA KAMISHENI YA KUKABILIANA NA MAAFA ZANZIBAR (ZMD).

Pichani Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Dkt. Islam Seif Salum akiongea na wataalam wa GST katika kuwasilisha ripoti ya kisayansi juu ya kutomoka kwa mashimo na kudidimia kwa nyumba.

Mkurugenzi wa Huduma za Jiolojia GST Dkt. Ronald Massawe aliyesimama akiongea na wadau kutoka serikali Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakati anawasilisha ripoti ya uchunguzi wa kudidimia kwa ardhi.
Kulia ni Mkurugenzi wa Huduma za jiolojia GST Dkt. Ronald Masawe akiwa katika makabidhiano ya ripoti na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Dkt.Islam Seif Salum.
Watatu kutoka upande wa kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Dkt.Islam Seif Salum kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar akiwa katika picha ya pamoja na wataalamu wa GST.