Watumishi wa wizara ya madini pamoja na taasisi ya jiolojia na utafiti wa madini Tanzania Leo tarehe  10/01/2019 kwa umoja wao wampokea Waziri wa Madini Mh .Dotto Mashaka Biteko pamoja na Naibu waziri wa madini Mh.Stanslaus Nyongo katika viwanja vya wizara hiyo jijini Dodoma kisha kuzungumza nao maneno machache juu ya utendaji kazi ndani ya wizara hiyo na taasisi zake.